Barnaba Andika haya kwa uchungu mkubwa

Barnaba Andika haya kwa uchungu mkubwa


 Msanii @barnabaclassic ame-share na sisi taarifa ya maumivu kuhusu kuteketea kwa moto kwa studio yake ya Hightable Sound iliyopo maeneo ya Kinondoni Dar es Salaam. tukio ambalo limetokea usiku huu.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Barnaba ameandika “UCHUNGU MKUBWA SANA NINAOPATA KUTOKA TAHARIFA STUDIO ZANGU ZA ( HIGHTABLESOUND

ENTERTAINMENT COMPANY LTD : @hightablesound

@hightablefilm ZIMEUNGUA MOTO USIKU HU KUANZKA SAA

2: 30 KAMILI LEO MUDA HU NIKIWA NIMETOKA KWENYE

SHOW YANGU YA MALKIA WA NGUVU ARUSHA BAADA YA

KUFIKA NILIKUA NATUKIO KIJICHI KWA KINA MAMA ZANGU | NIMEPITA OFFICEN KWANGU NA KUSALIMIA NIKAENDA NYUMBANI KAMA DK 15 | NAPIGIWA PANAWAKA (G Gì

交術 MUNGU WANGU WA MBINGUNI

NINAKUSHUKURU KWA HILI NINAAMINI UNANIPITISHA

KWNEYE NJIA SAHIHI DAIMA NIMETOKA KUFANYA

RENOVATION WEEK MBILI NYUMA KWA GHARAMA KUBWA NA MUZIKI NDO KAZI YANGU HI SEHEMU INATEGEMEWA NA

VIJANA WENGI MOYO UNANIUMA NIMELIA SANA KWA

UCHUNGU NIMEKOSA NGUVU KABISA NASIKITIKA KUSEMA HQ/ YETU IMEKUA MAJIVU HOOO MUNGU BABA ASANTE KWA HI BARAKA NIMEPOKEA NA NITAANZA UPYA NAJUA KAZI ZETU NGUMU ILA DAH MAISHA YANATUFUNZA NA ILI

NIMELIPOKEA KAMA FUNZO”

Chapisha Maoni

0 Maoni