Kylian Mbappe

Kylian Mbappe

 

MSHAMBULIAJI Mshambuliaji Kylian Mbappe amekataa of EURO (€ 45) Milioni kama mshahara kwa wale ambao ni sawa na Tsh 123+ Bilioni yaani (123,140,143,575.00) kutoka PSG.

Amekataa ofa hiyo ya kusaini mkataba mpya baada ya klabu ya PSG jioni hii kukataa kitita cha rekodi ya Dunia ya EURO 200 kutoka katika kilabu cha Real Madrid wakimtaka Mbappe (22)

Hivi basi, Mbappe ataondoka bure PSG mkataba wake wa mwaka mmoja ukiisha kama asipouzwa dirisha hili linalofungwa leo usiku. 

#Kylian #Mbappe 

Chapisha Maoni

0 Maoni