Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy ambaye anasimamiwa kazi zake na mkongwe P Diddy wa Marekani, amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift.
O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana, nimefanya vitendo tu".
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay




0 Maoni