TEKASHI69 AMEDAI KUWA PESA ALIZOPOST IG NA KWENYE VIDEO YAKE NI FEKI, 

TEKASHI69 AMEDAI KUWA PESA ALIZOPOST IG NA KWENYE VIDEO YAKE NI FEKI, 


 Rapa Tekashi69 amedai kuwa pesa alizopost IG Na kwenye video yake ni FEKI, ni pesa bandia za kufanyia maigizo, "Ni pesa za kuburudisha, sina pesa kwa sasa, Hizo zilikuwa pesa za kuigizia, Mimi ni mburudishaji, nina Degree katika burudani".

6ix9ine amekiri hana pesa sababu anaandamwa na kesi ya kulipa fidia kwa watu waliofanyiwa uhalifu na kundi lake la wahuni la 'The Nine Trey Gangsters' kabla hajaenda jela.



Chapisha Maoni

0 Maoni