RAIS WA KENYA MWAI KIBAKI AMEFARIKI DUNIA

RAIS WA KENYA MWAI KIBAKI AMEFARIKI DUNIA


 Aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, Rais wa Kenya Uhuru Kenyata ametangaza kifo cha Mwai Kibaki leo. Mwai Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013.

Chapisha Maoni

0 Maoni