Anaandika @mwijaku Kwenye Twitter Yake Baada Ya Msanii Wimbo Mpya Wa #Mdomo Wa #KONDE Kufikisha Views Milioni 1.3 Ndani Sekunde Kadhaa
#MWIJAKU Ameandika................."Kama kuweka ROBOT ni rahisi na nyinyi wekeni . Huyu ni msanii mkubwa hata akisema ajikune kwapa lake na aweke YOUTUBE atapata viwers zaidi ya Millions kwa dakika




0 Maoni