Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza

Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza


 Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza kuwa leo Jumnatatu February 07,2022 ni siku ya mapumziko kitaifa ili Watu washerehekee ushindi wa Timu ya Taifa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) walilolibeba jana. Rais Sall ameahirisha pia safari ambayo alitarajiwa kuifanya nje ya Nchi iliawakaribishe Mabingwa hao Ikulu kesho Jumanne "Tumeongoja ushindi huu kwa miaka 60" 

Chapisha Maoni

0 Maoni