Hatimaye wamekutana studio tena. Baada ya muda mrefu wa kutokufanya kazi pamoja Rapa @countrywizzy_tz ameingia studio usiku huu na mtayarishaji wa muziki @s2kizzy ndani ya studio za #PlutoRepublic Country Boy na S2Kizzy ni marafiki walioshibana kwa muda mrefu sana lakini ghafla ukaribu wao ulikata baada ya Country Boy kujiunga na lebo ya Konde Music Wordwide. Siku chache baada ya kumaliza mkataba na lebo hiyo Country Wizzy anaonekana studio tena na #S2Kizzy
0 Maoni