Konde Boy @harmonize_tz amtaka @officialalikiba kuimba "UTU" siku ya kumvalisha pete

Konde Boy @harmonize_tz amtaka @officialalikiba kuimba "UTU" siku ya kumvalisha pete


 #ETrending Konde Boy @harmonize_tz amtaka @officialalikiba kuimba "UTU" siku ya kumvalisha pete

Harmonize akiwa kwenye Boti anakula bata na mpenzi wake ame post video Instastory akiwa anasikiliza wimbo wa Alikiba #Utu na kuandika kuwa "Mtu amwambie Mfalme Alikiba lazima aimbe wimbo huu siku ya kumvalisha pete mpenzi wangu". Hakuishia hapo Harmonize aliandika tena "Huu ni muziki halisi, naupenda sana wimbo huu"

Unadhani ndoto hii ya @harmonize_tz kumuona @officialalikiba anaimba siku ya kumvalisha pete mpenzi wake itatimia?


Chapisha Maoni

1 Maoni