Klabu ya Simba SC imepanga kugoma kucheza mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC

Klabu ya Simba SC imepanga kugoma kucheza mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC

Klabu ya Simba SC imepanga kugoma kucheza mechi ya kesho dhidi ya Yanga SC katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikiwa uwanjani kutakuwa na mabango ya GSM.Inaelewezwa kuwa tayari mabango ya GSM yapo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, utakapopigwa mchezo huo hapo kesho.

Chapisha Maoni

0 Maoni