Mwimbaiji Chris Brown amempigia salute Mwimbaii staa wa Nigeria Wizkid

Mwimbaiji Chris Brown amempigia salute Mwimbaii staa wa Nigeria Wizkid


 Mwimbaiji Chris Brown amempigia salute Mwimbaii staa wa Nigeria Wizkid ambaye weekend hii iliyoisha siku ya Jumapi liameijaza 02 Arena London Uingereza kwamaelfu ya Mashabiki waliomiminika kumtazama. Chris Brown hakuishia tu kufanya suprise kwenye Tamasha hilo na ku-perform bali ameileta mpaka kwenye Instagram yake kwa furaha akieleza kufurahishwa kwake namafanikio ya Wizkid na kujivunia Wizkid pia ambae anasema wamekuwa Washkaji kwazaidi ya miaka 10. Show hii ya Wizkid ambayo imefanyika kwenye ukumbi wenye uwezo wa kuchukua Watu elfu ishirini imetajwa kuvunja rekodi ya ticket kumalizika ndani ya dakika 12 tu kwa mujibu wa Mtandao wa Metro Uingereza, rekodi ambayo pia imewahi kuvunjwa na Spice Girls na Bendi ya Rock ya Rolling Stones amba ticket zao ziliisha ndani ya dakika 13.



Chapisha Maoni

0 Maoni