Mwalimu Sylvain Helaine (35) amezuiliwa kuwafundisha Watoto wa chekechea Nchini Ufaransa

Mwalimu Sylvain Helaine (35) amezuiliwa kuwafundisha Watoto wa chekechea Nchini Ufaransa


 Mwalimu Sylvain Helaine (35) amezuiliwa kuwafundisha Watoto wa chekechea Nchini Ufaransa baada ya Wazazi kulalamikia kuwa Tattoo za Mwalimu huyo zinawatishia Watoto hadi wanaota usingizini Mwalimu huyo ambaye amejaza Tattoo mwili mzima hadi kwenye ulimi akiwa pia amefanya upasuaji na kubadilisha macho yake kuwa na rangi nyeusi tupu, kwa sasa ameruhusiwa kufundisha kuanzia Wanafunzi wenye miaka sita kwenda juu.

"Nillanza kuchora Tattoo nikiwa na miaka 27wakati nafundisha London, napenda Tattoo,nachora kuwaonesha Watoto kuwa wakiwa wakubwa watakutana na Watu wa kila aina

na wanapaswa kujumuika nao, nashangaa

Wazazi wananikataza wakati Watoto

wananipenda"-SYLVAIN

Chapisha Maoni

0 Maoni