Mahakama ya usuluhishi wa Kimichezo Duniani (CAS) leo imetoa majibu ya kesi ya kimkataba iliyokuwa ina mkabili Mchezaji wa Simba SC raia wa Ghana Bernard Morrison

Mahakama ya usuluhishi wa Kimichezo Duniani (CAS) leo imetoa majibu ya kesi ya kimkataba iliyokuwa ina mkabili Mchezaji wa Simba SC raia wa Ghana Bernard Morrison

 Mahakama ya usuluhishi wa Kimichezo
Duniani (CAS) leo imetoa majibu ya kesi ya
kimkataba iliyokuwa ina mkabili Mchezaji wa Simba SC raia wa Ghana Bernard Morrison dhidi ya Club yake ya zamani ya Yanga SC. Kesi hiyo ilikuwa inahusiana na madai ya Yanga kwa CAS kuwa Morrison anapaswa kulipa fidia ya USD 200,000 (Tsh milioni 460.2) kwa madai ya kuvunja mkataba na Yanga bila kufuata utaratibu na kujiunga na Simba SC, CAS wameweka wazi Morrison alijunga Simba SC kama Mchezaji huru na mkataba wake na Yanga ulikuwa umeisha.

Chapisha Maoni

0 Maoni