Club ya Simba SC imemtangaza Pablo Franco

Club ya Simba SC imemtangaza Pablo Franco


 Club ya Simba SC imemtangaza Pablo Franco (41) Raia wa Hispania kuwa Mrithi wa Kocha Didier Gomes ambaye mkataba wake ulisitishwa. Franco aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi Real Madrid 2018 amesaini mkataba wa miaka miwili kuitunikia Simba SC, kabla ya kujiunga Simba SC alikuwa kocha wa Al Qadsia ya Kuwaita na amewahi kuwa Kocha wa Getafe
2015.


Chapisha Maoni

0 Maoni