Ronaldo amefunga hat-trick yake ya 10 leo akiichezea Ureno katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Luxembourg katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.
Hadi sasa katika maisha yake ya soka Ronaldo amefunga jumla ya hat-trick 58 (Man United 1, Real Madrid 44, Juventus 3 na Ureno 10)



0 Maoni