Tarehe 13 mwezi huu wasimamizi wa kazi za wasanii
#COSOTA
wametoa tamko kwa wote wanaofanya hivyo mtaani kuwa kitendo hicho ni kinyume na sheria na adhabu yake ni faini ya mil. 20 au kifungo cha miaka mitatu mpaka mitano jela au vyote kwa pamoja.
Hivyo wamewatahadharisha kuwa wakiwa wanaendelea na taratibu za kuwafuatilia wauzaji wanatakiwa waache mara moja.
#ALIKIBA
#OnlyOneKing



0 Maoni