Mtandao wa youtube umempa tuzo 2 (plaques) maalum msanii Alikiba kupitia channel 2 tofauti ndani ya mtandao huo zilizo chini yake.
Plaque ya kwanza pichani ni (Silver Play Button) hii ni baada ya kufikisha subscribers laki 1 (100,000) na nyingine inayofuata pichani ni (Gold Play Button) hii ni baada ya kufikisha subscribers Milioni Moja (1,000,000).
Tuzo hizo maalum hutolewa na Youtube kwa ajili ya kutambua, kupongeza na kuwapa nguvu wanamaudhi wa mtandao huo (YouTubers).
#Alikiba




0 Maoni