Malkia Elizabeth wa Uingereza ni shabiki mkubwa wa soka. Ujio wa Cristiano Ronaldo klabuni Manchester United umemfurahisha sana na kuonyesha furaha yake, ametoa oda ya jezi 80 zenye namba 7 ambayo itavaliwa na Ronaldo ili ziweze kutua katika jumba la kifalme zivaliwe na watumishi wake.
0 Maoni