KIJANA Barka Seif AMEREJEA NCHINI akitokea Uholanzi alikokuwa akifanya majaribio kwenye Academy ya soka ya Ajax Amsterdam FC.
Baada ya kurejea, Hemed Tawa [mjomba wa Barka Seif] ambaye aliambatananae safarini, amesema majaribio yamekwenda vizuri na tayari kuna matumaini siku moja kijana huyo atarudi Ulaya




0 Maoni