GEREZA LA AJABU BOLIVIA LASHANGAZA

GEREZA LA AJABU BOLIVIA LASHANGAZA


 GEREZA moja Nchini Bolivia liitwalo San Pedro limeingia katika rekodi baada ya wafungwa wake kuruhusiwa kujisimamia wao wenyewe, hakuna askari anayewalinda au kuwasimamia.


Wafungwa wanafanya uchaguzi wa viongozi wao wenyewe, wanatunga sheria na kanuni zao, wanatafuta pia kazi za kufanya ili kuendesha maisha na kulipia pango ya Gereza na wanaruhusiwa hata kupeleka Familia zao na kuishi nazo Gerezani.

Yaani kama una mke, mume au mpenzi wako amefungwa, unaweza kuamua tu na wewe kuhamia zako gerezani ukaishi naye hadi siku akiachiwa huru mnarudi wote Uraiani.

 


Chapisha Maoni

0 Maoni