DULLA MAKABILA UGOMVI NA WASAFI

DULLA MAKABILA UGOMVI NA WASAFI


 Mfalme wa muziki wa singeli dullamakabila amefunguka kua nikweli kwa sasa hayupo sawa na upande wa wcb

Dulla makabila amesema ugomvi wake na wcb ni kitendo cha yeye kwenda kufanya show ya efm inayofahamika kama bar kwa bar na kuongeza kua kilichofanya pia wasafi wamchukie nikitendo cha yeye kuperform wimbo wa luckydube prisoner ambao inaonekana wcb wamemuelewa tofauti na yeye alichokua amekiwaza wakati anachagua kuperform wimbo huo

Wao walichukulia kama kule kwao nilikua gerezani kwaiyo nimerudi efm kitu ambacho sio kweli mie sikua na maana hiyo alifunguka dullamakabila wakati kifanya mahojiano ndani ya empire ya efm.

Chapisha Maoni

0 Maoni