Nimeona Comments nyingi zikimzungumzia Unstoppable Feisal Salum (Fei Toto) kuwa mwamuzi Ramadhan Kayoko alimlea kimayai sana jana kuna mahala alistahili Card lakini Kayoko alimuonya kwa mdomo na kuendelea kucheza rafu za hapa na pale jambo ambalo halikuwa poa huenda ni kweli au sio kweli lakini narudia tena Kayoko alilimudu pambano na kama alikuwa na mapungufu machache ni ya kibinadamu tuu.
Bt all in all huyu Fei Toto jana alimanusura amchungulie Air Manula lakini mkwaju wake haukuwa na kasi kubwa sana japo mkwaju ule ungefanikiwa kwenda kambani ulikuwa ni kielelezo tosha cha ubora wake kwa sasa.
Nitajie matukio matatu ambayo aliyafanya Fei mbali na jaribio la shuti lake ambalo liliishia mikononi mwa Manula.




0 Maoni