Mwana FA

Mwana FA

 

MSANII mkongwe wa Hip Hop ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza kupitia chama tawala, Hamis Mwijuma maarufu kama Mwana FA, amepata ajali ya gari mkoani Morogoro leo.

Kamanda wa Polisi Morogoro Fortunatus Musilim amesema Mbunge huyo yupo salama. "Nimepata hiyo taarifa, nimetuma Vijana wangu huko kupata Habari kamili, Mheshimiwa yupo salama lakini kuna macho wamepata mshikamano na hata Gari yake ndiyo imetumika kupeleka baadhi ya Hospitali" ——— RPC Musilim. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amesema walionusurika kwenye ajali hiyo ni Watu watano na walipopatia ajali ni Kingolwira Manispaa ya Morogoro.




Chapisha Maoni

0 Maoni