KAJALA

KAJALA


Leo natabasamu kwa sababu mwaka mmoja uliopita, moyo wangu ulizaliwa tena. Wewe ni mtoto wangu wa kwanza, zawadi ya maisha yangu, na sababu ya kila maombi yangu. Kila siku nawe ni somo, ni furaha, ni baraka.


Happy 1st birthday my love! Umenigeuza kuwa mama mwenye nguvu, uvumilivu na upendo wa kweli. Nitakupenda, kukulinda na kukuombea hadi pumzi yangu ya mwisho. You made me a mother, and that changed everything 


 

Chapisha Maoni

0 Maoni