MTANGAZAJI WA WASAFI MEDIA DIVATHEEBAWSE AMETHIBITISHA KUBADILISHA JINA LAKE 

MTANGAZAJI WA WASAFI MEDIA DIVATHEEBAWSE AMETHIBITISHA KUBADILISHA JINA LAKE 


 Mtangazaji wa Wasafi media @divatheebawse amethibitisha kubadilisha jina lake la pili, Diva ameanza kutumia jina la mume wake kama Jina lake la pili ambalo ni 'Abdulrazaak'.

Baada Ya Maisha Yangu Mapya Ya Ndoa. Nimebadilisha Jina Langu Kisheria Kabisa. Nafahamika Kama Diva Raihannah Gissele Abdulrazaak, Kwenye ID Yangu Mpya itaambatana na Legal Names Diva Raihannah Gissele. National ID ikiisha Muda wake I wil Remove Malinzi as my surname as well, Pili Dini Yangu sio Mkristo Tena Bali Muislamu, Jina La Malinzi Sitalitumia Tena na ata baadhi Ya Vitu zangu zitakuwa na Middle name ya Raihannah, Isa new life ... brand new life. this is the last time having change of names legal!.

thanksšŸ˜

Chapisha Maoni

0 Maoni