UWOYA AWAJIBU MASHABIKI

UWOYA AWAJIBU MASHABIKI


 Watu wanauliza sina marafiki wa kike?kiukweli asilimia 90 ya marafiki zangu ni wanaume sababu wamenyooka sanaaa ukikosea wanakuchana ukifanya powa wanakupongeza na ukifanikiwa wanakunjua na kufurahia mafanikio yako kama Yao,ila wakike anakuchekea machoni moyoni anatamani ufe…simanishi siwapendi ila napenda tuonane kwa mbali 

Chapisha Maoni

0 Maoni