Golikipa wa PSG Gianluigi Donnarumma ameshinda tuzo ya kipa bora ya mwaka 2021 (Yachine Trophy). Tuzo hii inaitwa Yachine Trophy sababu za kipa wa zamani wa Urus Lev Yashin ambaye ndio golikipa pekee aliwayewahi kutwaa tuzo ya Ballon d'Or 1963 #Ballon d'Or 2021



0 Maoni