Bwana Shawn Corey Carter maarufu Jay-Z amejiunga na instagram

Bwana Shawn Corey Carter maarufu Jay-Z amejiunga na instagram


 Bwana Shawn Corey Carter maarufu Jay-Z amejiunga na instagram kwa mara ya kwanza ambapo ndani ya saa 8 tu amepata followers million 1.5 na Mtu pekee na wa kwanza anaem-follow ni Mke wake Beyoncé Mpaka sasa Jay Z ameweka post moja tu kwenye akaunti yake ambayo ni cover ya Filamu ya Netflix inayoitwa The Harder They Fall ambayo Jay Z.Ni Producer Mwenza wa Filamu hiyo na alisimamia pia soundtrack ya Filamu.Kuna kiumbe gani mwingine ungetamani ajiunge Instagram ?

Chapisha Maoni

0 Maoni