Shule tatu za msingi za Mott Road, Enders Road na
Fayetteville zilizopo nchini Marekani zimepiga
marufuku Wanafunzi kuvaa mavazi ya Halloween
yanayofanana na yale yaliyovaliwa na Waigizaji wa TV
Series inayofanya vizuri Nethix iitwayo Squid Game,
zimedai mavazi hayo yatachochea vitendo vya kinalifu
Shuleni.
Series hiyo ya Korea Kusini inaonesha Watu wakishiriki
kwenye Game ya kufa na kupona ambapo anayefeli
Uongozi wa Shule hizo umewaandikia Wazazi na
kuwaambia pia kuwa makini na Watoto wao na
kuwadhibiti wasiige vitendo vinavyofanywa na Series
hiyo wasije kujikuta wanapeana majeraha au kuuana.



0 Maoni