Upewe Mtonyo kiasi gani ukubali kupiga Picha na Nyuki kama hivi alivyothubutu Big Sean!? • 🤔
Katika maandalizi ya Video ya wimbo wake mpya ‘What A Life’ ambao ameuachia muda mchache uliopita, Rapper kutoka Marekani @bigsean amethibitisha kukaa On-Set na Nyuki takriban 65,000 kama inavyoonekana pichani na sio michongo ya editing za Photoshop na vitu kama hivyo.



1 Maoni
Mh
JibuFuta