Wakati Barkasrif akiwa bado anaendelea na majaribio Ajax Amsterdam Academy

Wakati Barkasrif akiwa bado anaendelea na majaribio Ajax Amsterdam Academy


 Wakati Barkasrif akiwa bado anaendelea na majaribio Ajax Amsterdam Academy Uholanzi, leo amepokea tuzo mbili ambazo zilikuwa zikishindaniwa na camp nzima [Ajax Camp & Clinic] yenye zaidi ya vijana 70.

Barka ameibuka mshindi katika tuzo mbili zilizokuwa zikishindaniwa.

1. Most Valuable player [hii ndio tuzo kubwa iliyokuwa ikishindaniwa]
2. Best skill of the week

Chapisha Maoni

0 Maoni